FADHILA ZA SIKU KUMI (ZA MWANZO) ZA DHUL-HIJA (Kiswahili)

nullHuu ni ujumbe mfupi, uliokusanya mambo muhimu anayoyahitaji Muislamu katika fadhila za siku kumi za mwanzo wa Dhul-Hija. Tumezikusanya kwa ajili ya mwenye kutembelea Misikiti Miwili Mitukufu, mwanaume na mwanamke; ili wawe na elimu na utambuzi na mambo ya dini yao, tukitaraji kutoka kwa Mkarimu, Mwingi wa kuneemesha awanufaishe kwa ujumbe huu, na aufanye kuwa wenye kufaa, na uwe kwa ajili ya kutaka uso wake tu. Kwani, Yeye ndiye mbora wa wenye kuombwa na Mkarimu zaidi anayetarajiwa.

  • earth Lugha
    (Kiswahili)
  • earth Mtunzi:
    اللجنة العلمية برئاسة الشؤون الدينية بالمسجد الحرام والمسجد النبوي

(فضل عشر ذي الحجة)

Huu ni ujumbe mfupi, uliokusanya mambo muhimu anayoyahitaji Muislamu katika fadhila za siku kumi za mwanzo wa Dhul-Hija. Tumezikusanya kwa ajili ya mwenye kutembelea Misikiti Miwili Mitukufu, mwanaume na mwanamke; ili wawe na elimu na utambuzi na mambo ya dini yao, tukitaraji kutoka kwa Mkarimu, Mwingi wa kuneemesha awanufaishe kwa ujumbe huu, na aufanye kuwa wenye kufaa, na uwe kwa ajili ya kutaka uso wake tu. Kwani, Yeye ndiye mbora wa wenye kuombwa na Mkarimu zaidi anayetarajiwa.